EBOLA YAZIDI KUTIKISA DUNIA



Number of Ebola cases rises above 10,000

 


More than 10,000 people have now been infected with the Ebola virus, according to the WHO. Medical workers returning to the US are facing tighter controls, while Mali has reported its first Ebola death. 

FAHAMU KUHUSU UGONJWA HATARI WA EBOLA





Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kwa lugha ya kitaalam “Ebola Virus”. Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za Virusi zinaazosababisha kutokwa Damu mwilini, (Viral Haemorrhagic Fevers). 

A LINK BETWEEN LOW BIRTH-WEIGHT AND AIR POLLUTION


The findings, published in the The Lancet Respiratory Medicine journal, said: "The population attributable risk estimated for a reduction in [particulate matter with a diameter of 2.5 microns or less] concentration to 10 micrograms per cubic metre during pregnancy corresponded to a decrease of 22% in cases of low birth-weight at term."

HATUA SABA MUHIMU ZA KUZUIA UTI KWA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO


Ugonjwa wa mfumo wa mkojo kitaalamu urinary tract infection(UTI) umekuwa ukisumbua watu wengi. Vimelea vinavyosababisha ugonjwa katika mfumo wa mkojo hukua na kusambaa endapo kinga ya mwili inakuwa ndogo hivyo makundi yaliyo katika hatari ya magonjwa haya ni watoto chini ya miaka mitano, wamama wajawazito, wanawake na watu wote wenye upungufu wa kinga.