Maisha ya binadamu
yamekuwa yakizungukwa na vitu vingi sana, baadhi ya vitu hivyo ni muhimu sana
katika maisha yetu kiasi kwamba huenda isipite siku hata moja bila kutumia
vitu hivyo japo kwa upande wa pili vitu hivyo vimekuwa vikiathiri afya zetu kwa
kiasi kikubwa bila sisi kujijua, moja
kati ya vitu hivyo ni VIPODOZI.
Kutokana na utafiti
uliofanywa na Mamlaka ya chakula, dawa na vipodozi nchini (TFDA) umegundua
kwamba kuna vipodozi vilivyoingia sokoni huku vikiwa vimesheheni
viambata ambavyo ni sumu na hatari kwa matumizi ya mwili wa binadamu,
viambata hivyo ni kama ifuatavyo:-
1. Bithionol 2.Hexachlorophene
3. Mercury compounds
4. Vinylchloride 5.
Zirconium containing
complexes in aerosol products 6. Halogenated salicylanilides (di-,tri-metabromsalan and tetrachlorosalicynilide)
7. Chloroquinone and its derivatives
8. Steroids in any proportions
9. Chloroform 10. Chlofluorocarbon propellants (fully halogenated
chlorofluoroalkanes) in cosmetic aerosol products
11. Methyelene chloride
Viambata hivi vinaweza
kusababisha Athari nyingi sana za kiafya (hutegemea na aina ya kiambata kilichomo kwenye kipodozi), kwa ujumla baadhi ya athari hizo ni pamoja na uharibifu wa mfumo wa uzazi, akili, ukuaji, mkojo (figo), mfumo wa chakula, mfumo
wa akili, pia husababisha saratani za ngozi na damu, athma, aleji za ngozi n.k
Unawezaje kugundua uwepo wa Viambata hivyo kwenye Kipodozi chako?
Unaweza kugundua uwepo
wa viambata hivyo kwenye kipodozi chako kwa kuangalia viambata (ingredients)
vilivyoorodheshwa kwenye kopo, boksi au karatasi iliyo ndani ya boksi la
kipodozi.
Baada ya utafiti huo
TFDA imepiga marufuku usambazaji na matumizi ya vipodozi vyote vilivyosheheni
viambata vya sumu kwa Watanzania, vifuatavyo ni baadhi ya Vipodozi vyenye viambata vya sumu:
Mekako soap and Cream, Rico soap and Complexion Cream, Princess
Cream, Butone Cream,
Mic Cream, Viva Super Lemon Cream, Ultra Skin Tone Cream, Fade - Out Cream,
Palmer`s Skin
Success (pack), Fair & white Active Lightening Cream, Fair & White
Whitening Cream,
Fair & White Strong Bleaching Treatment Cream, Fair &
white Body Clearing milk,
Maxi – Tone fade Cream, Nadinola Fade Cream, Clear
Essence Medicated fade Cream,
Peau Claire Body Lotion, Reine Clair Rico Super
Body Lotion, Immediat Claire Maxi – Beuty lotion,
Tura Lotion, Ikb Medicated
Cream, Crusader Skin Toning Cream, Tura Bright & Even Cream,
Claire Cream, Miki
Beauty Cream, Peau Claire Crème Eclaircissante, Sivoclair lightening Body
Lotion,
Precieux Treatment Beauty Lotion, Clear Essence Skin Beautifying Milk, Tura
Skin Toning Cream,
Madonna Medicated Beauty Cream, Mrembo Medicated Beauty
Cream, Shirley Cream,
Kiss – Medicated Beauty Cream, UNO21 Cream, Princess
Patra Luxury Complexion Cream,
Envi Skin Toner, Zarina Medicated Skin Lightener,
Ambi Special Complexion, Lolane Cream,
Glotone Complexion Cream, Nindola Cream,
Tonight Night Beauty Cream, Fulani Cream Eclaircissante,
Clere Lemon Cream,
Clere Extra Cream,
Binti Jambo Cream, Malaika
Medicated Beauty Cream,
Dear Heart with Hydroquinone Cream, Nish Medicated
Cream,
Island Beauty Skin Fade
Cream,
Malibu Medicated Cream,
Care plus Fairness Cream,
Topiclear Cream,
Carekako Medicated Cream,
Body
Clear Cream, A3
Skin Lightening Cream, Ambi American Formula, Dream Successful,
Symba crème Skin Lite ‘N’ Smooth,
Cleartone Skin Toning Cream,
Ambi Extra Complexion Cream,
Cleartone Extra Skin, Toning
Cream,
O`Nyi Skin Crème,
A3 Tripple action Cream
Pearl Light,
Elegance
Skin Lightening Cream, Mr. Clere Cream, Clear Touch Cream, Crusader Ultra Brand,
Jaribu Skin soap and Lightening
Lotion,
Amira Skin Lightening lotion,
A3 Cleartouch Complexion
Lotion,
A3 Lemon Skin Lightening
Lotion,
Kiss Lotion,
Princess Lotion,
Rico Skin
Tone Cream, Baraka
Skin Lightening Cream, Fairlady Skin Lightening Cream,
Immediat Claire Lightening
Body Cream, Skin
Lightening Lotions Containing Hydroquinone,
No Mark Cream, Clear Touch Lotion, Super
Max – Tone Lotion, Clear Touch Lotion Cream,
Ultime Skin Lightening Cream.
Tunapaswa tuwe waangalifu sana katika matumizi ya vipodozi kwa kuchunguza uwepo wa viambata vya sumu, kukagua terehe ya mwisho wa matumizi ya kipodozi na kuepuka matumizi ya vipodozi vilivyopigwa marufuku kwa matumizi ya binadamu ili kujikinga na madhara ya kiafya!!!!
No comments:
Post a Comment